Skip to content

Book Overview


Basi liliteremka kwenye barabara iliyojisokota katika miinamo ya vilima. Nilichungulia dirishani na kuona jinsi jua lilivyovidhihirisha dhahiri shahiri vilima hivyo.

"Vilima gani hivi?" nilimwuliza abiria aliyeketi ubavuni pangu, mwanamume mfupi mnene. Kichwa chake kilikuwa kimeegemea bega langu. Hakujibu. Kumbe alikuwa anamenyana na usingizi. Nikamtikisa.



Format:
Paperback
Language:
Swahili
ISBN:
9966497544
ISBN13:
9789966497543
Publisher:
Longhorn Publishers Plc
Length:
304 Pages
Weight:
0.58 lbs.
Dimensions:
0.8″ × 5.0″ × 7.0″
FictionTeen & Young Adult

More by Ken Walibora

Customer Reviews

0 customer ratings | 0 reviews
Write a Review

There are currently no reviews. Be the first to review this work.