
Isra & Naum enjoy traveling around the world & living in Africa! Come along as they live in Malawi, Liberia, Rwanda, and Uganda. They also had so much fun visiting Sierra Leone, Ghana, C?te d'Ivoire, and Senegal to immerse in their native history & culture. Virtues presented...

Isra na Naum hufurahia kusafiri kote ulimwenguni na kupata kuona urembo wa Afrika Jiunge nao wanapoishi nchini Malawi, Liberia, Rwanda, na Uganda. Pia walifurahia kuzuru Siera Leoni, Ghana, Kodivaa, Senegali, na Zimbabwe kwa kuzama katika historia na utamaduni wa wenyeji....