Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege. Wanajulikana kwa: - Kuwa na vichwa - Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo - Kuwa na uti wa Mgongo - Kuwa na mfumo wa Mifupa - Kuwa na Mzunguko wa damu - Kuwa na jinsi