![Nasikia Sauti ya Mama [Swahili] 9966312757 Book Cover](https://i.thriftbooks.com/api/imagehandler/l/90C74F2E5484F782F8ED0C019A184C7D21D1A052.jpeg)
Ken Walibora ni miongoni mwa waandishi arifu na maarufu zaidi wa fasihi ya Kiswahili waliowahi kuibuka katika Afrika Mashariki na ya Kati. Mbinu ya kalamu yake ina mvuto mkubwa na uzuri wa kisanaa wa aina yake. Ameziandika tanzu mbalimbali za fasihi...