![Mtu wa Mvua [Swahili] 9966472371 Book Cover](https://i.thriftbooks.com/api/imagehandler/l/DFFA8B61AA466617A3852175143F1FB269CBC48B.jpeg)
Dora yumo nyumbani ambamo amelazimika kubaki ili kuwachunga ng'ombe wao kutokana na ukosefu wa mfanyakazi mzuri. Halafu siku moja anamuona mtu anayetembea kwenye mvua bila kuguswa na tone la mvua. Anamshawishi mamaye wamwalike mtu huyu nyumbani. Mgeni anakubali kuandikwa kazi...