Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Waraka wa Paulo kwa Waefeso Book

ISBN: B08D55N3TP

ISBN13: 9798666909997

Waraka wa Paulo kwa Waefeso

Waraka wa Paulo kwa Waefeso, ni moja ya barua za muhimu sana katika Biblia-Agano Jipya. Katika waraka huu, Mtume Paulo anaelezea kwa undani jinsi Mungu alivyowafanya Wamataifa na Wayahudi kuwa kitu kimoja katika Kristo. Anafunua siri kuu ya ukombozi na kuonesha kwamba watu wote, yaani Wayahudi na wasio Wayahudi ni sawa mbele za Mungu na kwamba wote wanaokolewa kwa neema kwa njia ya imani. Kupitia kwa Yesu Kristo, wote ni watoto wa Mungu na wote ni wenyeji katika maskani yake. Ujumbe wa Paulo katika waraka huu, umeifanya Habari Njema ya wokovu, kuwa Habari Njema kweli kweli. Mwandishi wa kitabu hiki, Mchungaji Christopher Mwashinga, ameelezea sura tatu za kwanza za Waraka huu, kwa namna rahisi, fungu kwa fungu, na kufanya ujumbe wa Paulo ueleweke kwa msomaji yeyote bila kujali kiwango chake cha elimu.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$15.64
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks® and the ThriftBooks® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured