Ulimwengu una mambo yanayoeleweka kisayansi ambayo hayakubali kabisa kuelezaewa kisayansi. Katika baadhi ya jamii kuna njia za mume kumfunga mke hivi kwamba akienda kando ya ndoa, yeye na mwanamume anayehusika wananasika katika mtego ambamo hawawezi kutoka mpaka wafunguliwe na wenye ujuzi maalum wa kienyeji. Katika Walikiona cha mtema kuni gavana anayemmezea mate mke wa mtu mwingine anajipata katika hali ya hangaiko na aibu. Mume anajua analotaka gavana lakini anajifanya hana ufahamu dhamira ya gavana ili nafasi aingie mtegoni amfunze adabu kwa namna isiyosahaulika. Mke wake na gavana wanapokutana, wanakiona alichokiona mtema kuni.
The world contains phenomena that, while scientifically observable, defy scientific explanation. In some societies, there exist methods by which a husband can "bind" his wife; should she engage in an extramarital affair, both she and her partner become ensnared in a trap from which they cannot escape until released by someone possessing specialized, traditional knowledge. In the story of the woodcutter, a governor who covets another man's wife finds himself in a state of distress and humiliation. The husband, fully aware of the governor's intentions, feigns ignorance-thereby allowing the governor to fall into the trap and receive an unforgettable lesson. When the governor and the wife meet, they experience the very same ordeal that the woodcutter once witnessed.