Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback UWEZO WA MUNGU(Swahili Edition) [Swahili] Book

ISBN: B0CJXQXGCM

ISBN13: 9791126311958

UWEZO WA MUNGU(Swahili Edition) [Swahili]

Kwani mimi binafsi nimepata furaha na raha katika uhuru kutoka kwa miaka saba ya magonjwa na maumivu, ili niwe mtumishi mwenye uwezo anayefanana na Bwana, nilifunga na kuomba kwa siku na nyakati kadha baada ya kuitwa ili niwe mtumishi wa Bwana. Yesu anatuambia katika Marko 9:23, "'Ukiweza?' Yote yawezekana kwake aaminiye." Pia niliamini na kuomba kwa sababu nilishikilia ahadi ya Yesu, " Yeye] aniaminiye mimi, kazi nizifanyazo mimi, yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizo atafanya, kwa kuwa mimi naenda kwa Baba" (Yohana 14:12). Kwa kupitia Mikutano ya Uvuvio ya kila mwaka, Mungu ametuonyesha ishara na maajabu ya kushangaza na ametupa uponyaji na majibu yasiyoweza kuhesabika. Zaidi ya hayo, wakati wa wiki ya pili ya Mkutano wa Uvuvio wa mwaka wa 2013, Mungu aliweka msisitizo wa dhihirisho la uwezo wake juu ya vipofu, viwete, viziwi na mabubu.


Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$12.03
Save $0.97!
List Price $13.00
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured