Ikiwa Mungu alimtoa Mwana wake bure, iweje wewe leo ulipie uponyaji wako katika maombezi? Ikiwa Yesu alitoa sadaka ya maisha yake bure, iweje wewe leo uambiwe sadaka yako inanunua baraka kwa Mungu? Kama kwa njia ya sadaka tunanunua baraka, na kwa njia ya pesa tunaponywa, kulikuwa na uhitaji gani wa Yesu Kristo kutufia msalabani? Soma kitabu hiki ambacho msingi wake ni kutoka Biblia, utafunguliwa mengi.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.