![Upendo: Utimilifu wa Sheria(Swahili Edition): U... [Swahili] B0CLRH9K89 Book Cover](https://i.thriftbooks.com/api/imagehandler/l/398A1EE6A44076F05FE1706BC963A912F6C25D19.jpeg)
Neno 'Sheria' linatokana na neno la Kiebrania 'Torah', ambalo maana yake ni 'maagizo', na 'somo'. Torah kwa kawaida linarejelea Pentatuki (vitabu vitano vya Biblia) vinavyojumuisha Amri Kumi. Lakini, "Sheria" pia linerejelea vitabu 66 vya Biblia kwa jumla, au yale maagizo...