Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Upendo: Utimilifu wa Sheria(Swahili Edition): Utimilifu wa Sheria( [Swahili] Book

ISBN: B0CLRH9K89

ISBN13: 9791126312252

Upendo: Utimilifu wa Sheria(Swahili Edition): Utimilifu wa Sheria( [Swahili]

Neno 'Sheria' linatokana na neno la Kiebrania 'Torah', ambalo maana yake ni 'maagizo', na 'somo'. Torah kwa kawaida linarejelea Pentatuki (vitabu vitano vya Biblia) vinavyojumuisha Amri Kumi. Lakini, "Sheria" pia linerejelea vitabu 66 vya Biblia kwa jumla, au yale maagizo ya Mungu anapotuambia cha kufanya, cha kutofanya, cha kuweka, au kutupilia mbali mambo fulani. Huenda watu wakafikiria kwamba Sheria na upendo havihusiani, lakini haviwezi kutenganishwa. Upendo ni wa Mungu, na pasipo kumpenda Mungu hatuwezi kuifuata Sheria kikamilifu. Sheria inaweza kutimizwa tu tunapoifuata kwa upendo.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$12.15
Save $0.85!
List Price $13.00
50 Available
Ships within 2-3 days

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2025 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured