
Tunu ya Mashairi ni kitabu cha kifasihi am-bacho kina mkusanyiko wa mashairi ambayo yanazungumzia maswala yanayokumba jamii ya sasa. Uzuri wa mkusanyiko wa mashairi haya unafunua maudhui na faida zinazoto-kana na maudhui zinazozungumziwa. Katika diwani hili, maudhui...