Tanzania Mpya+!Tanzania Mpya+ ni nini? Nini Hatima ya Tanzania Mpya+? Haya ni maswali ambayo unaweza kuwa nayo. Pia unaweza kuwa na majibu yako. Kitabu hiki hakiongelei siasa, wala barabara, wala majengo au vitu vilivyotekelezwa. Kitabu hiki kinaongelea mabadiliko ya kifikra, kimtazamo na kiutendaji ambayo ni msingi imara wa mafanikio kwa kila Nchi au Mwanadamu. Kitabu hiki kitakusaidia kupanua wigo wa uelewa juu ya Tanzania Mpya+ na hatima yake. Pia, kitabu hiki kitakusaidia kuona picha ya Tanzania Mpya+ na kukupa hamasa ya kujituma zaidi ili mimi, au wewe, au sisi tuwe sababu ya kufikia malengo yaliyokusudiwa.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.