![Siku ya Wajinga [Swahili] 9966472398 Book Cover](https://i.thriftbooks.com/api/imagehandler/l/CF230B11683BC2711A1D6368D1FB0C5B1E5EF2C0.jpeg)
Zito anausifu ujinga. Darasani imekuwa ni kushikilia nikia kila kunapofanywa mtihani. "Sikiza," anamwainbia rafiki yake Sadiki. "Ukiwa daktari, utanihudumia nikiwa mgonjwa. Ukiwa mwalimu, utafundisha wanangu, na ukiwa wakili, utanisimamia katika kesi zangu... Katika kazi yoyote...