Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Rosa Misitika [Swahili] Book

ISBN: 9976587112

ISBN13: 9789976587111

Rosa Misitika [Swahili]

Rosa Mistika ni riwaya inayohusu masaibu ya msichana Rosa aliyelelewa katika mazingira ya udhibiti wa kidini na kimila katikati ya lindi la umaskini; baadaye akakabiliwa na vishawishi pale alipoingia katika shule ya bweni na kisha chuo cha ualimu. Kutokana na malezi aliyoyapata, anashindwa kuvidhibiti vishawishi hivyo, hatimaye

anapoteza maisha. Riwaya hiyo inatuingiza katika falsafa ya Kezilahabi kuhusu maisha, Mungu na ubaho (kuwapo) ambayo inajitokeza kwa kina na upevu zaidi katika riwaya zake za baadaye.

Rosa Mistika is a novel about the plight of a young girl named Rosa who was raised in an environment of religious and traditional control in the midst of poverty; later she faced temptations when she entered a boarding school and then a teacher's college. Due to the upbringing she received, she is unable to control these temptations, and eventually she loses her life. The novel introduces us to Kezilahabi's philosophy about life, God and existence which emerges in greater depth and maturity in his later novels.

Recommended

Format: Paperback

Temporarily Unavailable

We receive fewer than 1 copy every 6 months.

Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured