Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition) [Swahili] Book

ISBN: B0CWCG89NF

ISBN13: 9791126312573

Roho, Nafsi, na Mwili (II)(Swahili Edition) [Swahili]

Katika kitabu chake cha The Art of War, Sun Tzu anasema kwamba, ukijijua mwenyewe na ukimjua adui yako, utashinda vita vyovyote. Mahubiri yanayohusu,"Roho, Nafsi, na Mwili" yanatupa mwangaza kuhusu sehemu ya ndani zaidi ya 'uenyewe' wetu na yanatufundisha kuhusu chanzo cha wanadamu. Mara tu tunapojifunza na kuelewa ujumbe huu vizuri, tutaweza pia kumwelewa mtu yeyote yule. Pia tutajifunza njia za kutusaidia kushinda nguvu za giza, ambazo zimekuwa zikituathiri, ili tuweze kuishi maisha ya Kikristo yaliyo ya ushindi.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$12.03
Save $0.97!
List Price $13.00
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured