Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Rasta [Swahili] Book

ISBN: 1300840064

ISBN13: 9781300840060

Rasta [Swahili]

Drama hii ya Rasta inamhusu msichana ambaye alipata ajali ya pikipiki na kupata ulemavu wa maisha. Rasta kutokana na ulemavu huo analazimika kutumia kiti mwendo kwa ajili ya kutembelea. Familia ya Rasta na majirani ni watu wenye upendo wa hali ya juu na mfano wa kuigwa. Vivyo hivyo shuleni, kuna baadhi ya wanafunzi wana mitazamo hasi juu ya Rasta lakini walimu wanasaidia kufuta mitazamo hiyo hasi; na hatimaye kuwa na mitazamo chanya kuhusu ulemavu na watu wenye ulemavu. Mbali na suala la ulemavu kusguhulikiwa katika drama hii, pia suala la rushwa linaangazwa huku likiacha majeraha makubwa sana kwa wananchi walalahoi ambao 'mkono mtupu haulabwi'. Ungana na mtunzi wako ili ujue yaliyomo ndani ya tamthiliya hii.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$7.52
Ships within 2-3 days
Save to List

Related Subjects

Fiction Literature & Fiction

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured