Mchezo unawassilisha vita kuhusu msitu maarufu katika jiji. Msitu hu oni mapafu ya jiji hjilio na, kwa hivyo, ni rafiki wa jiji na wakazi wake. Msitu huo ambao unavutia watu wengi wenye hamu na mazoea ya kumandari katika mazingira safi, unaanza kunyakuliwa na kukatwakatwa ili kugawiwa vikaragosoi wa kisiasa ili wajenge makazi ndani yake. Profesa jasiri, mpenzi na rafiki wa mazingira, anajitolea mhanga kupigania msitu dhidi ya serikali ya rais katili. Licha ya ukatili wa rais huyo, profesa hatishiki wala kulegea katika azma yake ya kuhakikisha kwamba msitu unasalia kuwa mali ya umma na mahali pa watu kuingia kujifariji.
The story depicts a battle over a famous city forest. This forest serves as the city's lungs, acting as a friend to both the city and its inhabitants. A popular destination for those seeking to enjoy the fresh, clean environment, the forest is being seized and carved up to be allocated to political cronies for residential development. A courageous professor-an environmentalist and nature lover-risks everything to defend the forest against the regime of a ruthless president. Despite the president's brutality, the professor remains undeterred and steadfast in the resolve to ensure the forest remains public property-a sanctuary where people can find solace.