MWANAMKE KATIKA BIBLIA ni kitabu bora kabisa kilichoandaliwa maalumu kwa ajili ya kugusa maisha ya wanawake wote pamoja na idara na vyama vyao. Katika kitabu hiki chenye visa mbalimbali vya wanawake ndani ya Biblia, waandishi wamekusudia kutoa elimu, maarifa na ufahamu kwa kutumia wahusika ambao ni wanawake walio katika Biblia. Na hivyo basi, wote watakao soma kitabu hiki wataweze kuziandaa njia zao vyema kwa ajili ya wokovu. Waandishi wa kitabu hiki ni walimu kwa taaluma, ni mume na mke na ni wainjilisti na walimu wa Biblia pia, hivyo, kitabu hiki kimeandikwa katika mtiririko mzuri wenye lugha rahisi inayoeleweka katika mada zake zote. Mungu akubariki sana kwa kujipatia nakala ya kitabu hiki. Amina
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.