MUME MWENZA NI SIMULIZI ILIYOSHEHENI MIKASA YA PWANI YA MJI WA TANGA NCHINI TANZANIA, AFRIKA YA MASHARIKI. RIWAYA HII INAAKISI MAISHA HALISI YA MJI WA TANGA, KATIKA NYANJA TOFAUTI. LUGHA, DINI, MAPISHI, MALEZI, MAPENZI NA KADHALIKA. NI ADIMU KUSIKIA WATU WAKISEMA "MUME MWENZA" LAKINI NI AGHALABU KUSIKIA WATU WAKISEMA "MKE MWENZA". NAAM, MUHUSIKA MKUU WA RIWAYA HII NI BI ZULEKHA ANAMILIKI WANAUME WAWILI, NA WANAUME HAO KUWA "WAUME WENZA" WANAUME HAWA WANAJIKUTA KUMPENDA ZULEKHA KWA KIASI KIKUBWA KIASI CHA KUKUBALIANA KUSHIRIKIANA MKE. LAKINI BADO KILA MMOJA ANATAKA ZULEKHA AWE WAKE. MWANAUME MMOJA NI MUME HALALI WA ZULEKHA NA MWINGINE NI HAWARA WA ZULEKHA. SOMA RIWAYA HII UONE NAMNA GANI ZULEKHA ALIWEZA KUWAMILIKI WOTE WAWILI, NA NI NANI ATASALIA NA ZULEKHA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUMGOMBEA ZULEKHA.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.