![Mtu Anayetafuta Baraka za Kweli(Swahili Edition) [Swahili] B0CLRHT2M7 Book Cover](https://i.thriftbooks.com/api/imagehandler/l/2DFC791B524F0B41665F6E58C36D229659007E56.jpeg)
Tukitimiza Maneno katika Heri, hatutafurahia tu baraka zote za ulimwengu huu peke yake, kama vile mali, afya, umaarufu, mamlaka, na amani katika jamaa, bali pia tutapata Yerusalemu Mpya kati ya makao mengi ya mbinguni. Baraka inayotolewa na Mungu haiwezi kutingiswa katika aina...