Tukitimiza Maneno katika Heri, hatutafurahia tu baraka zote za ulimwengu huu peke yake, kama vile mali, afya, umaarufu, mamlaka, na amani katika jamaa, bali pia tutapata Yerusalemu Mpya kati ya makao mengi ya mbinguni. Baraka inayotolewa na Mungu haiwezi kutingiswa katika aina yoyote ya mambo magumu. Tukitimiza Heri tu peke yake, hatutakuwa na upungufu wowote. Ninaomba kwamba, kupitia kwa hiki kitabu, watu wengi watabadilika na wawe watu wa roho wanaotafuta baraka za kweli na wapokee baraka zote zilizotayarishwa na Mungu. Ninamshukuru Geumsun Vin, mkurugenzi wa halmashauri ya uhariri na wafanyakazi wote.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.