Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Mrembo wa Magomeni [Swahili] Book

ISBN: 9966310681

ISBN13: 9789966310682

Mrembo wa Magomeni [Swahili]

"Oh, Chichi, karibu. Keti na ustarehe."

Msichana aliketi. Hakuonekana kama mwanafunzi bali kama

mwanamke wa kawaida. Akivaa sare za shule, Chichi

alionekana 'mdogo' lakini alipovaa nguo za kawaida

alionekana 'mama', usingedhani ni 'mtoto wa shule...

Urembo wake unamfanya kama gundi ya kunata vijana wa

kiume na wazee mtaani Magomeni. Kabla hajagundua,

anajipata amejigeuza chano cha mji. Anagundua urembo wake

unawakirihi wakaaji wa Magomeni kwa kutia ndoa za

wenyewe doa hadi kidudu-mtu anapofichua kuwa...

"Basi, mama, nitakueleza kisa cha yote," alisema Kiki. "Kuna

mtu kaingilia kati ndoa yenu. Kuna msichana mmoja pale

kazini kwetu ndiye anayekutibulia ndoa yako. Mume

kamganda mithili ya kupe kwenye ngozi ya mnyama!"

Recommended

Format: Paperback

Temporarily Unavailable

We receive fewer than 1 copy every 6 months.

Save to List

Related Subjects

Fiction Teen & Young Adult

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured