Katika Mhanga Nafsi Yangu tunachorewa dunia iliyoharibiwa
mtu achote riziki yake. Kwa hivyo utabiri wa wahenga unathibitika
na kukamilika.
nchi na watu wake kwenda kuishi na kutafuta riziki yake Peponi.
Anahajiri na kuishi Peponi kwa sababu kwao hakuna maisha
Shangazi yake aliyemfanyia wema wa kumleta Peponi ndiye
walizonazo wenyeji kuhusu wageni - hasa wageni weusi,
yanaonekana ni mazingira ya ubaguzi na udhalilishaji! Hatimaye
matumaini ya Peponi yanageuka kuwa balaa. Kwa hivyo viapo
vya mapenzi vinasahauliwa, ahadi za kusaidia ukoo zinavunjwa,
matumaini mema yanakatikakatika, uvumilivu haupo tena,
anapotambua kwamba nafsi ya mtu huweza kutolewa mhanga
kwa matarajio ambayo tokea mwanzo hayakuwa na msimamo.