Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Mbuyu Ng'ambo Ya Thagana Book

ISBN: 9966794255

ISBN13: 9789966794253

Mbuyu Ng'ambo Ya Thagana

Mbuyu Ng'ambo ya Thagana ni mkusanyiko wa michezo minne mifupi ya onyesho moja kila mchezo. Michezo hiyo ni "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana", "Usiku wa Mwereka", "Deni" na "Mtini Asubuhi". Kichwa cha kitabu kimetokana na mchezo wa "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana" kuhusu mbuyu ambao, katika fasihi simulizi ya kabila mojawapo nchini Kenya, mwanamke akiuzunguka mara saba, anabadilika na kuwa mwanamume. Vivyo hivyo, mwanamume akiuzunguka mara saba, anabadilika na kuwa mwanamke. Katika "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana" mwandishi anamulika fasihi simulizi na pia kuangazia masuala ya kijinsia katika jamii.

*Mbuyu Ng'ambo ya Thagana* is a collection of four short, one-act plays. The plays are "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana," "Usiku wa Mwereka," "Deni," and "Mtini Asubuhi." The book's title is derived from the play "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana," which centers on a baobab tree; according to the oral tradition of a certain Kenyan community, if a woman circles the tree seven times, she transforms into a man, and conversely, if a man circles it seven times, he transforms into a woman. In "Mbuyu Ng'ambo ya Thagana," the author draws upon oral tradition while also highlighting gender issues within society.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$21.92
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Notice | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured