Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii [Swahili] Book

ISBN: 1291532552

ISBN13: 9781291532555

Manabii katika Kazi - Shule ya Manabii [Swahili]

Dhana (wazo) la shule ya manabii kwa vyovyote vile siyo mpya, kwa kweli nabii Samweli alikuwa mtu wa kwanza kuanzisha shule hii. Kwa kuwa jamii ya wa Kristadelfia wanaamini na kutegemea kabisa Biblia yote kuwa ndiyo msingi, kwa hiyo haitashangaza sisi kufuata desturi hii. Kozi hii ina mafunzo ya mwalimu, imeanzishwa siyo iwe kama masharti ya kuendesha Ekklesia na taratibu za ibada, bali kozi hii inakuletea mfumo ambao ninyi wenyewe mtaweza kuamua njia iliyo bora ya kuendesha Ekklesia yenu. Mafundisho yaliyomo humu yamekusudiwa kwa ajili ya Ekklesia za Tanzania; hata hivyo kanuni ni kwa ajili ya watu wote na kwa sababu hiyo zinaweza kutumiwa na watu wote hata kama wana mila na utmaduni tofauti. Mwandishi Mwandishi amefanya kazi ya kuhubiri nchini Tanzania kwa miaka zaidi ya ishirini na kuna wakati aliishi mwaka mzima akifanya kazi ya kuhubiri akitembea mji hadi mji mwingine akihubiri na kufundisha jinsi ya kufundisha.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$19.91
50 Available
Ships within 2-3 days

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2025 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured