Kitabu hiki, Kumtumaini Yesu, ni mkusanyiko wa mahubiri ya kusisimua yanayochochea matumaini, faraja na ukuaji kiroho kwa kila mtu--mkubwa na mdogo. Hotuba hizi za pekee zilizobadilisha maisha ya watu wengi Afrika na Amerika ya Kaskazini zimejengwa katika Biblia, Agano Jipya. Msomaji anapozisoma atapata muonjo wa kile ambacho kiliwafanya maelfu ya watu waliomsikiliza Mchungaji Christopher Mwashinga akihubiri wafurike kumsikiliza. Ni matumaini yetu kwamba msomaji atapata uzoefu mpya kabisa asomapo mahubiri haya na kufurahia utamu wa Neno la Mungu liwaongozao wanadamu katika kumjua Mungu wa pekee wa kweli na Yesu Kristo aliyemtuma (Yoh. 17:3).
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest
everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We
deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15.
ThriftBooks.com. Read more. Spend less.