Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Kimya Kimya Kimya [Swahili] Book

ISBN: 9966361510

ISBN13: 9789966361516

Kimya Kimya Kimya

Mvutano baina ya Kulia na Kushoto umekuwa mzito. Mbele

hawaendi, nyuma hawaendi, kulia na kushoto hawaendi. Kushoto

anataka kwenda kulia, hawezi. Kulia anataka kwenda kushoto, naye

hawezi pia. Kwa kuelekezana migongo na kuvutana pande zote,

hawaendi popote. Kushoto analalama, "Mbona siendi mbele?

Najitahidi, najivuta, najisukuma lakini..." Kumbe sababu ya haya

yote ni kimya!


Hali hii itabadilika pale tu watakapokaa kimya, na wakiruhusu kimya

kusema. Mpaka pale, mdogo atamfundisha mkubwa kusema pole

pole. Mpaka pale ulimi ulioganda kwenye baraza la kinywa

utakapoganduka. Hapo ndipo kimya kitasema na kitasema kimya

kimya kwa sauti kubwa kama ya Yoo.

Recommended

Format: Paperback

Temporarily Unavailable

We receive fewer than 1 copy every 6 months.

Related Subjects

Fiction Teen & Young Adult

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2025 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured