Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Karibu, Mfalme Mpendwa Book

ISBN: 9966794263

ISBN13: 9789966794260

Karibu, Mfalme Mpendwa

Diwani ya kimajaribio ambamo mashairi yametungwa kwa kutumia tashtiti na ucheshi ili kuwachekelea na kuwahamasisha wapigaji kura ambao wanatapeliwa miaka nenda miaka rudi na wanasiasa wanaowatupia makombo na kuwanyunyizia ahadi hewa. Isitoshe watu hupiga kura kwa misingi ya kikabila, kikijiji, kiukoo na kwa kufuata ukarimu ghushi wa wagombeaji viti. Baadaye wapigaji kura huishi maisha ya kusaga meno. Kumbe mwiba wa kujidunga huwa na uchungu

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$21.92
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Notice | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured