Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition) [Swahili] Book

ISBN: B0CGQ3835S

ISBN13: 9791126311408

Juu ya Mambo Kama Hayo Hakuna Sheria(Swahili Edition) [Swahili]

Roho Mtakatifu anapoingia katika mioyo yetu, hutusaidia kuelewa mambo ya ndani ya Mungu na kuishi kwa Neno la Mungu. Kwa mfano, anapokuwepo mtu ambaye hawezi kusamehe, hutukumbusha kuhusu msamaha na upendo wa Bwana na hutusaidia kumsamehe mtu huyo. Kisha, tunaweza kuufukuza uovu kwa haraka kutoka katika mioyo yetu na kuingiza wema na upendo. Katika njia hii, kadri tunavyozaa matunda ya Roho Mtakatifu kwa kupitia mwongonzo wa Roho Mtakatifu, hatutafurahia uhuru katika kweli tu lakini pia tutapokea upendo na baraka za Mungu zinazofurika.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$12.03
Save $0.97!
List Price $13.00
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured