Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback If My People - Swahili Edition: Mpango wa Mungu kwa Upya na Uponyaji wa Nchi Yetu [Swahili] Book

ISBN: 1927998425

ISBN13: 9781927998427

If My People - Swahili Edition: Mpango wa Mungu kwa Upya na Uponyaji wa Nchi Yetu [Swahili]

Select Format

Select Condition ThriftBooks Help Icon

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$8.30
50 Available
Ships within 2-3 days

Book Overview

Katika kipindi ambacho tunaangalia mipango mipya na mbinu ya kudumisha masilahi na kusababisha makanisa yetu yakue, ni rahisi kukosa urahisi wa kile Mungu anawaambia watu wake katika vifungu hivi. Afya ya makanisa yetu na uzima wa kiroho hautegemei juu ya mbinu na mipango mipya, lakini katika kuangalia nyuma kwenye mafundisho rahisi ya neno la Mungu. 2 Nyakati 7:13-14 ni funguo katika afya ya kiroho na kuzaa matunda.


Katika vifungu hivi vimeegemea katika majibu ya Mungu kwa maombi ya Sulemani kwa msamaha na kufanya upya baraka kwa watu wake. Katika jibu la maombi ya Sulemani, Mungu alishirikisha mahitaji yake kwa huo msamaha na uponyaji uchukue nafasi. Kusudi la Mungu halikubadilika. Ikiwa unataka kufahamu nini Mungu anahitaji kwa burudisho na kufanywa upya katika maisha yako ya kiroho, hivi vifungu viwili ni ufunguo.

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks® and the ThriftBooks® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured