Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Decolonial Travel Guide Tanzania Book

ISBN: 9996088715

ISBN13: 9789996088711

Decolonial Travel Guide Tanzania

Tansania ist nicht nur ein beliebtes Reiseziel f r Deutsche und nicht nur ein langj hriger Partner in der entwicklungspolitischen Zusammenarbeit, sondern die beiden L nder sind aufgrund der kolonialen Vergangenheit miteinander verstrickt. Spuren dieser gewaltsamen Zeit sind vielerorts sichtbar. In diesem dreisprachigen dekolonialen Reisef hrer stellen zahlreiche Autor*innen aus Tansania und Deutschland verschiedene Erinnerungsorte vor und geben Input zu kolonialen Kontinuit ten. Dieser Reisef hrer m chte dich auf einer Reise des Zuh rens, des Verlernens und des Verstehens begleiten. Er will eine Einladung sein zu einem nachhaltigen, solidarischen, zukunftsf higen, dekolonialen Tourismus.

Tanzania ni maarufu ya utalii kwa Wajerumani. Lakini uhusiano kati ya Tanzania na Ujerumani hauishii tu kwa utalii wala ushirikiano wa maendeleo. Mataifa haya mawili pia yanashirikiana historia ya ukoloni. Athari za enzi hiyo ya ukatili bado zinaonekana wazi. Kitabu hiki (chenye tarifa lukuki na mazoezi katika Kiswahili, Kijerumani, na Kingereza) kinatoa dira ya mwongozo kwa wasafiri wenye mtazamo tofauti. Waandishi kutoka Tanzania na Ujerumani wameshiriki. Wanazungumzia uendelezaji wa ukoloni, mapendeleo ya watalii Wazungu, wanashirikisha maarifa ya kihistoria na kutoa mongozo wa kusafiri kwa haki zaidi. Ni safari ya kusikiliza, kujifunza, kuelewa upya. Mwongozo huu wa kusafiri ni mwaliko: kwa utalii unaodumu, unaoshirikiana, unaojumuisha na unaopinga ukoloni.

Tanzania is not only a popular destination for safari and beach holidays for Germans, and not only a long-standing partner in development cooperation, but the two countries are also intertwined due to their colonial past. Traces of this violent era are visible in many places. In this trilingual decolonial travel guide, numerous authors from Tanzania and Germany present various sites of remembrance, tell of colonial continuities and white travel privileges, and offer input on more equitable travel. This workbook and reader aims to accompany you on a journey of learning, listening, unleaming, and understanding.

This travel guide aims to be an invitation to sustainable, solidarity-based, future-proof, decolonial tourism.

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$44.58
Save $0.42!
List Price $45.00
Ships within 2-3 days
Save to List

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks ® and the ThriftBooks ® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured