Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Chema chajiuza [Swahili] Book

ISBN: B0BS722CK9

ISBN13: 9789966640932

Chema chajiuza [Swahili]

Kizazi cha leo kimejaa una ki. Wengi wanapoajiriwa wanajidai ni

wafanyakazi waadilifu na wenye bidii kwelikweli. Kumbe wao ni

vinyonga wanaogeuza rangi ili wawasaliti mara ki na kuwaibia

waajiri wao! Hawana uaminifu wala huruma wanapotekeleza vitendo

vya ki sadi. Uadilifu, wema na utu ni misamiati migeni katika

maisha yao.


Lakini miongoni mwao kuna wachache wazuri na wenye wema.

Kwatampola analinda utu wake licha ya majaribu mengi anayopitia

kila siku. Kutokana na wema na utu wake, Kabaila Bumaali anamtunuku

Kwatampola zawadi kubwa iliyokuwa ndoto yake kila siku! Kwatampola

anasi wa kwa utu wake na kufahamika kwa makabaila wengine

sana. Ni kweli kwamba Chema Chajiuza!


Kinyume na Kwatampola, Injinia Bakehena anauza utu wake.

Anapunja pesa za mwajiri wake. Yeye ni sadi kamili wa nafsi na wa

mali. Je, Injinia Bakehena ata kwa na kitu gani mwishowe?

Ataadhibiwa ama atanusurika adhabu za waajiri wake? Je, ni

kweli kwamba 'malipo ni duniani ahera yaenda hesabu'?

Recommended

Format: Paperback

Temporarily Unavailable

We receive fewer than 1 copy every 6 months.

Save to List

Related Subjects

Fiction Literature & Fiction

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks® and the ThriftBooks® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured