Biubwa Amour Zahor: Mwanamke Mwanamapinduzi ni kitabu cha kipekee kabisa katika historia ya ushiriki wa wanawake kwenye harakati za Waafrika kijitawala, siyo kwa Zanzibar tu, bali kwa Tanzania nzima na Afrika kwa ujumla. Ushiriki wa Biubwa katika Mapinduzi ya Zanzibar haukulenga kupata cheo wala sifa, bali kutoa mchango wake muhimu katika kuwezesha Mapinduzi, jambo ambalo ni nadra sana katika siasa. Biubwa ametoa mfano wa uwanamapinduzi unaotakiwa kuigwa na wengi, hasa vijana wa jinsia zote wanaopenda nchi yao, ili kuhakikisha kuwa nchi yetu na Afrika yetu inasonga mbele.
ThriftBooks sells millions of used books at the lowest everyday prices. We personally assess every book's quality and offer rare, out-of-print treasures. We deliver the joy of reading in recyclable packaging with free standard shipping on US orders over $15. ThriftBooks.com. Read more. Spend less.