
Bella na Kloe ni mapacha wanaopendana sana na hufanya kila kitu pamoja. Lakini siku moja, janga linatokea pale ambapo Bella anachomeka na sufuria ya supu inayochemka. Kwa sababu ya majeraha makubwa ya moto katika maeneo kadhaa ya mwili wake, analazimika kulazwa hospitalini kwa...