Skip to content
Scan a barcode
Scan
Paperback Annie na Mawimbi [Swahili] Book

ISBN: 0648675130

ISBN13: 9780648675136

Annie na Mawimbi [Swahili]

Annie na familia yake wanaenda pwani kwa likizo.

Waokoaji wawili wa mawimbi wanatembelea shule ya Annie na anajifunza jinsi ya kukaa salama ufukweni.

Annie anagundua kwamba bahari inabadilika. Mwanzoni anahofia mawimbi lakini baada ya kuwakuta na waokoaji wa mawimbi, na pamoja na usaidizi wa familia yake, Annie hugundua hivi karibuni furaha ya kuogelea pwani.

Ujasiri wa Annie unaongezeka hadi anapopata wimbi kubwa ambalo humvuta ndani ya maji mengi zaidi.

Je, atakumbuka jinsi ya kuwaambia wakoaji wa mawimbi kwamba anahitaji usaidizi?


'Annie na Mawimbi' ni kitabu juu ya jinsi ya kukaa salama pwani.

Wakati unaposoma kitabu hiki utajifunza:

- Waokoaji wa mawimbi wanavaa nyekundu na manjano

- Unapaswa kuogelea katikati ya bendera nyekundu na manjano

- Baadhi ya fukwe ni salama zaidi kuliko zingine

- Kuna aina tofauti za mawimbi, baadhi yao ni salama zaidi kuliko mengine

- Ikiwa unapata shida katika maji, tulia na inua mkono wako kuonyesha waokoaji wa mawimbi unahitaji msaada

- Kuwa salama juani ufukweni. Vaa kofia na fulana ya kuogolea, na usisahau kupaka krimu ya kuzuia jua kabla ya kwenda nje katika juani

Na...

- Hupaswi kamwe kuingia ndani ya maji peke yako!

Recommended

Format: Paperback

Condition: New

$12.14
Save $0.85!
List Price $12.99
50 Available
Ships within 2-3 days

Related Subjects

Children's Children's Books

Customer Reviews

0 rating
Copyright © 2026 Thriftbooks.com Terms of Use | Privacy Policy | Do Not Sell/Share My Personal Information | Cookie Policy | Cookie Preferences | Accessibility Statement
ThriftBooks® and the ThriftBooks® logo are registered trademarks of Thrift Books Global, LLC
GoDaddy Verified and Secured